Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Iran yakanusha madai ya Marekani kuhusu njama za kumuua balozi wa Saudia
Namba: 271438 Tarehe: 1390/00/00Rejea: print

Marekani
Iran yakanusha madai ya Marekani kuhusu njama za kumuua balozi wa Saudia

Abna inatuarifu kuwa:Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekanusha madai ya uwongo kwamba kumekuweko na mpango wa kutaka kumuua balozi wa Saudi Arabia nchini Marekani na kueleza kuwa madai hayo yanayoihusisha na Iran na tuhuma hizo yako mbali na uhakika. 

 Iran yakanusha madai ya Marekani kuhusu njama za kumuua balozi wa Saudia
Ramin Mehmanparast amelaani oparesheni yoyote ya kigaidi katika
radiamali yake kwa madai yasiyo na msingi yaliyotolewa na viongozi wa
Marekani kwamba Iran imeshiriki katika mpango wa kutaka kutekeleza
oparesheni ya kigaidi huko Marekani. Ramin Mehmanparast amesema miamala
mibovu kama hiyo iliyojengeka juu ya siasa za kiadui na zilizopitwa na
wakati za Marekani na Uzayuni inatekelezwa kwa malengo maalumu na
maadui wa Uislamu na wa eneo hili. Ameongeza kuwa wapangaji wa njama
hizo hawana lengo jingine ghairi ya kuzusha hitilafu na kusaidia
kuuondoa utawala wa Kizayuni kwenye hali ya kutengwa.
 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani