Ahmad Shafiq amesema: mimi sioni tatizo kutengezwa Serikali ya Misri na kiongozi kutoka katika chama cha Ikhwanul Muslimin nae ameongeza kusema kwani moja ya sera zangu ni: kuijenga Misri yawote kwasababu Misri inawahusu wamisri wote waliopo nchini.
Katika hali ya kubainisha hayo kwanamna fulani aliashiria kuwa yeye ndie mshindi wa uchaguzi huo wa Jamhuri ya Misri, uchaguzi ambao duru ya kwanza ya uchaguzi huo imefikia mwisho bila kupata asilimia zinazohitajika nakupelekea kuweko duru ya pili iatakayo fanyika tarehe 16/6/2012 nchini humo.