Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Mubaraka aamishiwa chumba cha CCU baada ya kuhukumiwa
Namba: 319466 Tarehe: 2012/06/02 - 20:31Rejea: abnaprint

Afrika
Mubaraka aamishiwa chumba cha CCU baada ya kuhukumiwa

Televisheni za kiarabu zimetangaza kuamishiwa Husni Mubaraka(dikteta wa zamani nchini Misri) katika chumba cha uangalizi mkali kimatibabu baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha. 

 Mubaraka aamishiwa chumba cha CCU baada ya kuhukumiwa

TV za kiarabu zimetangaza kuhamishiwa Husni Mubara katika chumba cha uangalizi mkali wa kimakitibabu (CCU) katika Hospitali ya wafungwa baada ya kutolewa hukumu ya kifungo cha maisha. Mahakama inayosimamia faili la kesi ya Mubaraka na wenzake kwatuhuma ya mauaji ya waandamanaji imetoa hukumu ya kifungo cha maisha kwa Dikteta huyo wazamani adhuhuri ya leo.
Baada ya kutolewa huku hiyo hali ya Mubaraka ilizidi kuwa mbaya na kusababishwa kuhamishiwa katika chumba cha uangalizi malumu wa tiba katika Hosoitali ya wafungwa nchini Misri.


 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani