Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Shafiki anausika katika mauaji ya waandamanaji
Namba: 321550 Tarehe: 2012/06/11 - 20:07Rejea: abnaprint

Afrika
Shafiki anausika katika mauaji ya waandamanaji

Kiongozi wa fijana nchini Misri amesema Shafiq alishiriki katika kumwaga damu za waandamanaji nchini humo. 

 Shafiki anausika katika mauaji ya waandamanaji

Taamir Amar mmoja kati ya viongozi wa ofisi ya vijana katika kikundi chama cha Uhuru na Uadilifu nchini Misri amesema Shafiq anahusika katika umwagaji damu wa waandamanaji, katika tukio la uvamizi wa wapanda ngamia (mamluki wa Mubaraka) kuwavamia waandamanaji katika midani ya Tahariri, nae kipindi hicho akiwa ni waziri mkuu wa utawala huo wa kidekteta.
Pia aliongeza kusema kuwa viongozi wote waloshiriki katika mauaji ya waandamanaji  ndio wafanya kambeni wakubwa upande wa Ahmad Shafiq.
Mwisho alisema Muhammad Mirsi si mgombea wa kikundi cha Ikhwanul Muslimin tu bali ni mgombea wa wanamapinduzi wote. 
 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani